fr

Hadithi 40 za Imamu Nawawi
Installer maintenant
Hadithi 40 za Imamu Nawawi
Hadithi 40 za Imamu Nawawi

Hadithi 40 za Imamu Nawawi

Hadithi 40 za Imamu Nawawi - Lugha ya Kiswahili

Développeur : K Technologies
Taille de l'application : Varie selon les appareils
Date de sortie : 19 juin 2021
Prix : Free
0,0
6 Évaluations
Taille :
Varie selon les appareils
Télécharger APK
Google Play

Captures d'écran de l'application

Mobile
Hizi ni hadithi za Mtume (s.a.w) zilizoandikwa na Imam Nawaw Allah amridhiye. Kitabu hiki kimekusanya hadithi 40 kutoka katika vitabu vikubwa vya hadithi kama Sahihul-bukhar, sahihul musulman na vinginevyo. Amekusudia kuchagua hadithi sahihi tu katika hizi hadithi 40.

Imam Nawaw pia ameandika vitabu vingi vya hadithi na Fiqh. Ameandika kitabu cha hadithi kinazotambulika kama Riyaadhu as-salihiin yaani "BOSTANI LA ​​WAJAWEMA" pia katika kitabu hicho alikusudia kuandika hadithi sahihi tu.

Hivyo basi nasi tumeona kuwaletea karibu hadithi hizi kwa lugha ya kiswahili ili kuendelea kuisambaza kazi ya maulamaa hawa. Tuanatarajia radhi kwa Allah katika kazi hii. Kwa yeyote atakayeona kosa basi awasiliane nasi kwa haraka zaidi.
Voir plus
Plus d'informations sur : Hadithi 40 za Imamu Nawawi
Prix : Free
Version : 2.0
Taille : Varie selon les appareils
Date de sortie : 19 juin 2021
Classement du contenu : PEGI 3
Développeur : K Technologies
Apps du développeur :
Nouvelles sorties

Whatsapp
Vkontakte
Telegram
Reddit
Pinterest
Linkedin
Cacher