Bongo Sinema ni app yenye filamu zote kali za kiswahili. Kupitia app hii utaweza kuona filamu mpya mara tu itakapowekwa katika mtandao wa youtube kupitia simu yako. Aidha, app hii itakuwa inaongeza vipengele vingine vingi zaidi vya filamu kadri siku zinavyosonga mbele.