Simuliz Tamu ni app pekee itakayoifanya siku yako kuwa yenye furaha kupitia simulizi mbalimbali za kusisimua.
App yetu ni rahisi kufungua na hakuna vitu vingi vya kukuchanganya. Hakuna u login ukifungua tu inakupeleka kwenye simulizi moja kwa moja.
Pia utapata ujumbe kila tunapoweka simulizi mpya, Unaweza pia kuhifadhi kumbukumbu ya simulizi uzipendazo, pia tafuta simulizi utakayo kwa wepesi na haraka.