Beco Hadithi ni App inayokuletea simulizi za kusisimua na kukuelimisha kila siku.
App hii ina sifa zifuatazo:-
. 1. Inafunguka kwa urahisi
2. Ina sehemu ya kutoa maoni yako
3. Unaweza ukasoma simulizi bila mtandao endapo utazihifadhi sehemu maalum
4. Inatumia data kidogo na sifa nyingine nyingi.
Pakua leo ufurahie simulizi hizi za kusisimua.