de

SWALA YA MAITI
Jetzt installieren
SWALA YA MAITI
SWALA YA MAITI

SWALA YA MAITI

Jifunze namna ya kumswalia maiti kumuandaa maiti na kushona sanda ya maiti.

Entwickler: BONGOCLASS
App Größe: Varriert je nach Gerät
Veröffentlichungsdatum: 20.04.2021
Preis: Free
0,0
6 Bewertungen
Größe:
Varriert je nach Gerät
APK Herunterladen
Google Play

Hapa utajifunza namna ya kutekeleza ibada ya kumswalia maiti ama swala ya jeneza. Tumeandaa somo hili kwa ajili ya kutoa elimu kwa waislamu ambao wanataka kujifunza swala ya maiti na namna ya kumhifadhi maiti wa kislamu.

Katika somo hili pia utajifunza namna ya kuandaa sanda ya maiti wa kike, kiume na watoto. Pia utajifunza jinsi ya kumtwaharisha maiti wa kislamu.

Tunatarajia kuongeza masomo zaidi kuhusu mada hii ya maiti. Tunatarajia radhi za Allah katika kazi hii na kwako ndugu msomaji tunatarajia dua njema.
Mehr anzeigen
Mehr Informationen über: SWALA YA MAITI
Preis: Free
Version: 3.0.1
Größe: Varriert je nach Gerät
Veröffentlichungsdatum: 20.04.2021
Altersfreigabe: USK ab 0 Jahren
Entwickler: BONGOCLASS
Entwickler Apps:
Neue Veröffentlichungen

Whatsapp
Vkontakte
Telegram
Reddit
Pinterest
Linkedin
Verbergen