بسم الله الرحمن الرحيم
Mawaidha App imekusanya mawaidha zaid ya 200 na darsa zilizo pangwa kwa mfululizo wa vitabu/mada.
walinganizi waliomo ni zaidi ya 10(Allah awaifadhi) wenye kufuata Quran & Sunna kwa ufahamu wa wema waliotangulia.
Lengo letu ni kukupa wepesi wa kupata kusikiliza kalima za kielimu kwa urahisi zaidi kiganjani kwako na kwa muda wowote unapopata wasaha.
Tunakuombea Tawfiq Usikie na uelimike nacho kwa kile utakacho jifunza na iwe sababu ya kufahamu dini yetu na kuithibitisha katika matendo.
Baadhi ya wahadhiri waliomo ni:
1. Naaswir Bachu
2.Abuu al haarith aliy Mwinyi
3.Muhammad sharif famau
4.Abuu Anas Ismaa’iyl kiza
5.Abuu haashim Abdul Qadir
6.Abdul Arqam Abdallah
........
?Baadhi ya darsa zilizomo ni:?
1.Buluugh-ul-Maraam
2.Ryaadh-us-Swaalihiyn
3.Swifatu Swalaat-in-Nabiy
4.Sharh-us-Sunnah (al-Barbahaariy)
5.Al-Qawaaid Al-Arba’ (Kanuni Nne)(imam muhammad ibn abdul wahhab)
...........
Tunajitahidi kuongeza darsa na walinganizi wengine In shaa Allah.
Tunamuomba Allah atusafishie nia zetu na aikubal a'amal yetu, na aifanye iwe sababu ya kupata jannat