Mwongozo wa Bembea ya Maisha
Install Now
Mwongozo wa Bembea ya Maisha
Mwongozo wa Bembea ya Maisha

Mwongozo wa Bembea ya Maisha

Mwongozo wa Bembea ya Maisha uliofanywa kueleweka barabara

Developer: synnotus
App Size: varies with devices
Release Date: Dec 10, 2022
Price: Free
Price
Free
Size
varies with devices
Download Apk
Google Play

Screenshots for App

Mobile
Bembea ya Maisha ni hadithi kuhusu Yona na mkewe Sara pamoja na Bunju na mkewe Neema. Wahusika hawa wanajikuta katika vuta n’kuvute inayochochewa na mitazamo ya kitamaduni, uhalisia wa mambo pamoja na matamanio ya wahusika binafsi. Baina yao kuna mitikiso inayotishia familia, ndoa na mahusiano ya kijamii. Kuna shutma, shaka, tuhuma na mivutano. Lakini pia kuna hongera, imani, ushirikiano, upendo, kutanabahi na mshikamano. Katika huu mseto wa mambo ipo sauti imara ya Sara inayosikika ikihimiza na kuzindua. Sauti inayoiona kila hali mfano wa bembea.

Mwongozo wa Bembea ya Maisha utakupa tu mwelekeo lakini sharti kusoma vitabu vingine.

Ushauri muhimu kwa mtahiniwa.

1) Mtahiniwa sharti asome kitabu husika (Bembeaya Maisha) barabara na kukielewa.

2) Mwongozo ni kurunzi ya kumulikia njia, kwa hivyo, mtahiniwa sharti aelewe aendako.

3) Ni muhimu kusoma na kulielewa swali lililoulizwa. Ni vyema kujiuliza swali lifuatalo: Mtahini anataka habari gani kutokana na swali hili?

4) Usitoke nje ya muktadha wa swali na kuandaa habari ambazo hazihusiani na swali uliloulizwa.

5) Ikiwezekana, toa mifano kutoka kwenye tamthilia inayohusiana na jambo unalolifafanua ili kuweka jambo hilo wazi.
Show More
Show Less
More Information about: Mwongozo wa Bembea ya Maisha
Price: Free
Version: 1.0.0
Size: varies with devices
Content Rating: Everyone
Developer: synnotus
Developer Apps
Whatsapp
Vkontakte
Telegram
Reddit
Pinterest
Linkedin
Hide
This website uses cookies to ensure you get the best experience on our website. More info. That's Fine