Huu ni mwongozo wa Tamthilia ya Kigogo na Riwaya Ya Chozi La Heri
Programu hii imebeba Mwongozo wa Kigogo na Chozi La Heri.
Imechambua vitabu hivi kwa undani sana. Katika kila Sehemu kuna maswali ambayo itamwezesha msomi kuelewa vitabu hivi vizuri.
Programu hii ni rahisi kutumia na maandishi yake inasomeka vizuri.
Show More
More Information about: Mwongozo Wa Kigogo na Chozi La Heri Pro